Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Hivi kwani kuna maandamano 26/4/2018. Nani anayeandaa maandamani.

Ni nani aliyeomba kibali/taarifa ya kuwepo maandamano kwa mamlaka.

Kama wote hawajulikani basi hauna tofauti na watu wasiojulikana.

Msiwatishe watanzania kwa kujidai kuwa mna taarifa za siri nk.

Ninawashauri serikali hawa wanaosema wanataarifa za siri na nk. Wakamatwe na wasaidie polisi au wawekwe klisuizini kwa maana wanaleta taaruki hapa nchini bila sababu.

Kwa maana nyingeine wanaichezea Amani tuliyonayo kwa kupenda sifa ili Mkuu wa nchi Labda awateue kwenye nyadhifa mbalimbali.

TANZANIA TUWE MACHO SIO KINA MANGE TU BALI HATA HAWA WAKINA NDONDO CUP.
 
Hii naona ni propaganda tuu.Ila kama haya ulioandika ni kweli,basi alichofanya Mbowe sio vizuri na ikithibitika,inaweza kumshushia hadhi.Ila hebu tuthibitishie haya uliyoyaandika Angalao kwa picha Mange akiwa na Mbowe n.k.Otherwise unaweza ukawa umetunga na kuiandika hii story ukiwa chumbani kwako Manzese Au Tandika.
 
Huyo aliendika hyo topic hajui Historia ya China.

Ila kwa kifupi aliyeleta maendeleo China na kui'transform kuwa hii China tunayoiona leo sio Mao Zedong bali ni Deng Xiaoping.

Deng Xiaoping anajulikana kama the Father of Modern China ambaye ali'introduce principles of free markets and democracy na kuiwezesha China kufunguka na kukubalika katika mfumo wa kimataifa wa masoko na uchumi.

Mao Zedong alileta vifo, mateso, njaa kwa watu wake katika kipindi alichokiita Cultural Revolution. Sema hii topic ni taboo kuongelewa China. Unaweza kufungwa ama kuuawa kwa kumuongelea vibaya Mao Zedong.

Ila ukweli wachina wengi wanaujua kwamba aliyeleta maendeleo ni Deng Xiaoping na sio Mao Zedong. Ona hii makala ya New York Times

Deng Xiaoping: A Political Wizard Who Put China on the Capitalist Road
 
Mbona tushakuzoe wewe na unatumika na vijana wa Lumumba?
Tushakujua upo USA ya Kariakooo, hata hujui kudanganya
 
kama "madayasipora" ndio aina hii ya mleta mada, basi nina kila sababu ya kuunga mkono jitahada za serikali za kuwanyima uraia pacha.

tukutane april 26.
Hivi watanzania kwanini tunakuwa na akili ndogo kiasi ambacho kitu kidogo tunashindwa kufikiria? Wewe umeamini hii barua imeandikwa na watanzania walio Marekani kweli? Pole na uzuzu wako.
 
Hii habari ingenoga kweli kama ungeambatanisha na ka picha ka ushahidi
 
Ukifanya kazi ya kuosha vibabu vilivyo jiharishia lazima akili yako iwe na walakini....mleta maada huenda ndio kazi yake hiyo huko USA. Bring back our 1.5T
 
Mbowe ni adui namba nne wa tz,yote ni kwa Sababu ya uroho wa madaraka na kutaka utawala uwe wakwake kilazima,atulie kwanza bado sana kukabidhiwa nchi.
 
Mbowe ametua Marekani kutoka Tanzania, pasi kutolewa taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii kama ambavyo viongozi wanasiasa wamekuwa wakifanya hasa ndani ya chama chake cha CHADEMA.
Mbowe anatakiwa kuripoti mahakamani kila alhamis na hatakiwi kutoka nje ya mkoa bila kibali maalumu so huko Marekani ameendaje?
 
We Mpuuzi ni vyema mkajifungoe chumbani na wenzako kina Musiba na Le Kibamia mdanganyane wenyewe, hivi kuna Mtanzania wa kumdanganya na kumuona mpumbavu mpaka leo? Nahisi kuna watu wanakupima Tezi dume saa hizi, ndio unapiga mayowe kwa kuleta uzi huu wa kipuuzi kabisa.
 
Bahati mbaya wanaccm mkieneza uongo sio kuhatarisha Amani na wala si uchochezi!
Ambatanisha na ushahidi kidogo ili tuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…