mpango uliopangwa kufanyika mwaka huu

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
824
Habari wana jf ni miezi mingi imepita tangu mwaka uanze nmeona nianzishe uzi huu kwa nia njema kabisa ya kuwakumbusha watu mipango na mikakati waliojiwekea kuifanya ndani ya mwaka huu ili mwaka unapoisha tuwe na chakujivunia tumefanya pamoja na hali kua ngumu

Pia nawe kama kuna kitu unamkumbusha yeyote waweza kuongezea ili akamilishe pia kama umekamilisha tayari au unaendelea na mpango wako waweza weka comment hapo chini ili nawengine wajue huo mpango na mahali ulipofikia ili kuweka motivation kwa wengine kuthubutu (hapa naomba tuwe wakweli) kabla mwaka haujaisha

Kwa kuanza yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo watu waliweka mikakati mwaka unavoanza kupitia nyuzi mbalimbali nlizoziona humu nawakumbusha kuendelea .kama bado unaendelea nakupa hongera kwa kuwa mwaminifu katika mipango yako.

NAWAKUMBUSHA WALIOPANGA YAFUATAYO KUKAMILISHA

1kusoma vitabu vingi ndani ya 2017 zaidi ya ilivyokua 2016
2. Kununua kiwanja
3.kupunguza matumizi ya mitandao ya kijamii
4.kuanzisha shughuli binafsi za kiuchumi
5.kuoa
6 kuolewa
7 kuacha puli
8.kuanza kufanya forex
9. kujifunza programming
10.kutafuta kazi
11.kuomba vyuo na mikopo
12.kuacha ulevi
13 kuacha michepuko
14kufuga(mifugo,ndevu,kucha n.k)
15 kutenda mema
16 kumsifu na kumtumikia Mungu
17 kwenda Zimbabwe
18 kununua usafiri
19 kuondoka kwa mzazi na kuanza kujitegemea
20.kuchukua Vodacom premium league VPL
 
Achaneni na forex mtalia kilio cha mbwa mdomo juu!
 
Kuanza biashara yangu binafsi..
Kutubu dhambi
Kuacha Punyenye japo napiga Mara moja kwa mwezii au wikii..
 
Kuwasomea albadir waliompiga risasi Lissu
 
Swala la punyeto WAZIRI wa afya aliadress kama moja ya matatizo kwa vijana kati ya umri wa miaka 16-39

Maana hii ni zaidi ya cocain au heroin vijana wanashindwa kuacha
Na nguvu za kiume ndo zinazidi kupotea
 
namba 3 imenishinda kabisa cjui nifanyeje
 
Moja to nmefanikisha katika hayo yote...mengine yote yamenishinda.

Alaaniwe iliyeharibu mfumo wa ajira nchini.
 
namba 3 imenishinda kabisa cjui nifanyeje
Kuacha kote haiwezekani anza na kuacha mitandao ambayo umejiunga na unaona hakuna unachojifunza..anza kwa
1.kutochangia mada yeyote ile unasoma tuu
2 punguza muda wa kusoma mitandao hio
3.chagua habari na mitandao ya kutumia ile unayohisi ku gain kitu
4 anza kutumia jioni tuu
5 baadae watu wataona haupo active hata ikitokea usifungue hawatoshtuka na haito kuathiri kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…