Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tajiri namba moja duniani Elon Musk hajaishia hapo kwenye kumiliki utajiri wa $269.8 billion amethibitisha kuwa anataka kuongeza zaidi na kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza ambaye ni TRILIONEA duniani. Elon Musk mwenye umri wa miaka 53, amethibitisha kuwa mpango wake ni kutumia fedha hizo kuwahamishia binadamu kwenye sayari ya Mars.
Pia, Soma: Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani ifikapo 2027