Mpango Wa kitaifa Wa Miaka 7500 UITWAO "SHIKA KITABU"

SolarPower

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
223
Reaction score
27
Wakuu,

Taasisi ya READ & WIN IVESTMENTS ya Kerege, Bagamoyo, inakamilisha masuala ya msingi kabla ya uzinduzi wa mpango uliotajwa hapo juu. Kupitia mpango Huu wa SHIKA KITABU ndoto kuu ni kuona kuwa ifikapo mwaka 2027 kila Mtanzania na mkazi wa nchi atakuwa muda wote ameshika kitabu ukiondoa muda wa kulala.

Katika utekelezaji wake mpango umeanza na kitabu kiitwacho THINK AND GROW RICH (LATEST VERSION) cha Napolleon Hill ambacho kama taifa inatakiwa kila mmoja wetu awe nacho na kukisoma angalau mara 5 kwa ukamilifu wake kabla ya tarehe 31/12/2013.

karibuni sana WAKUU na enezeni pia ujumbe WA MIBADALA YA FACEBOOK toka 1. WWW.EMEAGWALI.COM na 2. WWW.ABDULKALAM.COM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…