Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kwani Mkuu 2025 imeshaisha? Unatakiwa uhoji ikifika January 1, 2026Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara mbalimbali.
Baadhi ya maeneo yaliyoanishwa kwenye Ilani hiyo, makutano ya Changombe, Kamata, Uhasibu, Morocco, Mwenge, Magomeni, Tabata, Fire, Makutano ya Ally Hassan Mwinyi na United Nation, Makutano ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni.
View attachment 3330238
Pia aliyewai kuwa Katibu Mwenezi wa CCM amewai kusikika akiyataja makutano mbalimbali ambapo zitajengwa barabara za juu.
View attachment 3330243
Kati ya maeneo yaliyotajwa kwenye Ilani kuna baadhi yamekamilika na tayari yameanza kutumika, ambapo katika maeneo hayo imesaidia kupunguza foleni tofauti na ilivyokuwa awali.
Lakini yapo maeneo mengine ambayo yameanishwa bado wananchi hatuelewi michakato ya ujenzi wa flyovers imefikia wapi au ndio imetoka kwenye mipango maana tunapata changamoto ya foleni mfano eneo la Mwenge na Morocco, Tabata.
Kwa mazingira yalivyo katika maeneo sioni dalili za 'flyovers' kuanza kujengwa na zimebakia siku chache muda wa Ilani kuisha unafika huku tukienda kwenye uchaguzi Mkuu.
Natamani kutumia jukwaa hili kufahamu utekelezaji umefikia wapi kutoka kwa viongozi wa Chama kujua na Serikali kufahamu utekelezaji umefikia hatua zipi.
Pia wajuzi naomba mnieleweshe nafasi ya Ilani kwa Chama kilichofanikiwa kuunda Serikali, maana nimekuwa nikisikia kwamba Serikali inatekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hili limekaaje? maana msingi wa kuhoji utekelezaji huo ni baada ya kusikia mara kwa mara viongozi wa kiserikali wakisema kwamba wanatekeleza Ilani hiyo.
Alikuwa msemaj bora , sio huyu Masanja anazurura kweny mashuleMh huyu jamaa alikuwa chawa bora kipindi cha nyuma
Mpango umejifiaIli kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara mbalimbali.
Baadhi ya maeneo yaliyoanishwa kwenye Ilani hiyo, makutano ya Changombe, Kamata, Uhasibu, Morocco, Mwenge, Magomeni, Tabata, Fire, Makutano ya Ally Hassan Mwinyi na United Nation, Makutano ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni.
View attachment 3330238
Pia aliyewai kuwa Katibu Mwenezi wa CCM amewai kusikika akiyataja makutano mbalimbali ambapo zitajengwa barabara za juu.
View attachment 3330243
Kati ya maeneo yaliyotajwa kwenye Ilani kuna baadhi yamekamilika na tayari yameanza kutumika, ambapo katika maeneo hayo imesaidia kupunguza foleni tofauti na ilivyokuwa awali.
Lakini yapo maeneo mengine ambayo yameanishwa bado wananchi hatuelewi michakato ya ujenzi wa flyovers imefikia wapi au ndio imetoka kwenye mipango maana tunapata changamoto ya foleni mfano eneo la Mwenge na Morocco, Tabata.
Kwa mazingira yalivyo katika maeneo sioni dalili za 'flyovers' kuanza kujengwa na zimebakia siku chache muda wa Ilani kuisha unafika huku tukienda kwenye uchaguzi Mkuu.
Natamani kutumia jukwaa hili kufahamu utekelezaji umefikia wapi kutoka kwa viongozi wa Chama kujua na Serikali kufahamu utekelezaji umefikia hatua zipi.
Pia wajuzi naomba mnieleweshe nafasi ya Ilani kwa Chama kilichofanikiwa kuunda Serikali, maana nimekuwa nikisikia kwamba Serikali inatekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hili limekaaje? maana msingi wa kuhoji utekelezaji huo ni baada ya kusikia mara kwa mara viongozi wa kiserikali wakisema kwamba wanatekeleza Ilani hiyo.
Mwenda zake alikwenda na fwedha za miradi.🤧 Sasa huyu bedui a.k.a chura kiziwi unadhani atazitoa wapi ???Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara mbalimbali.