grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 245
- 331
Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...