grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 245
- 331
anatumia kwa ajili ya kuchora sehemu wanazochimba kwa ajili ya Msingi. So jitahidi uchukue ile ya bei ya chini tuSalaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
Kweli aiseeanatumia kwa ajili ya kuchora sehemu wanazochimba kwa ajili ya Msingi. So jitahidi uchukue ile ya bei ya chini tu
Asante kwa kunitoa tongo machoni ndugu yangu nilikuwa sijuiiiHaya ndo matumiza yako
Hiyo ni sawa na kutumia maji ya kununua dukani kuoshea gari wakati maji ya kawaida yapoAsante kwa kunitoa tongo machoni ndugu yangu nilikuwa sijuiii
Hata majivu yanatosha!! Ubunifu ni kitu cha bureHiyo ni sawa na kutumia maji ya kununua dukani kuoshea gari wakati maji ya kawaida yapo
Huna haja ya kununua wall putty, nunua gympsum powder yoyote tu hata ya kiwango cha chini, zinauzwaga Tsh 14,000 tu.
Atumie tu kama..roll moja inatoshaHiyo ni sawa na kutumia maji ya kununua dukani kuoshea gari wakati maji ya kawaida yapo
Huna haja ya kununua wall putty, nunua gympsum powder yoyote tu hata ya kiwango cha chini, zinauzwaga Tsh 14,000 tu.
Huko kote mbali, kama mchanga wako wa kujengea una rangi tofauti na rangi ya udongo wa eneo unapotaka kujengea, unatumia tu mchanga huo huoHiyo ni sawa na kutumia maji ya kununua dukani kuoshea gari wakati maji ya kawaida yapo
Huna haja ya kununua wall putty, nunua gympsum powder yoyote tu hata ya kiwango cha chini, zinauzwaga Tsh 14,000 tu.