Mpango wa mapato ya dola bilioni 100 kwa mwaka umekamilika

Mpango wa mapato ya dola bilioni 100 kwa mwaka umekamilika

Dennis R Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
267
Reaction score
372
Jina naitwa DENNIS YESSE nina miaka 32 elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe

Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo:

1. Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi

2. Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu

Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
1. Kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja ambavyo vitakia na lengo la ku-export
2. Kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
3. Nitaondoa sektor ambazo sio rasmi kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda laki 1
4. Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka sababu nchi nzima itapangwa kisasa na upya na itakua ni kosa kujenga bila kibali
 
Kutakua na zone saba nchi nzima ambazo zitakua ni kitovu cha viwanda ili kupeleka maendeleo kila mahali ni kama zifuatazo;-
1-Wilaya ya mpanda na uvinza
2-Wilaya ya muleba na karagwe
3-Wilaya ya kishapu na shinyanga vijijini
4-Wilaya ya itigi na manyoni
5-Wilaya ya ruangwa na lindi vijijini
6-Wilaya ya mwanga na moshi vijijini
7-Wilya ya kibaha, chalinze, bagamoyo na mkurunga
 
Movement hii ni non-violence (haihusishi maandamano au vujo zozote zile)
 
Tunataka kurudisha uongozi kwa wananchi na kuuondoa kwenye kikundi cha watu wachache ambao ni watoto wa viongozi
 
Back
Top Bottom