Wafuasi watapatikana hata wasio viongozi. Ni kawaida kwa Chama kinachoanza kujitutumua, kupigwa spana na vyama viivyojipata. Hata ACT ilianza bila wafuasi lakini kwa sasa unaona inasimamisha wagombea kila kata. Wananchi wataizoea tu CHAUMMA na kwenda hukoChaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Mnakuwa kama msemaji wa Yanga. Anasema Mpanzu akiripoti Simba atatoa 10M, halafu siku mbili zinapita anasema Simba wamemficha Mpanzu. Kwani ni lini Mbowe alisema ana mpango wa kwenda CHAUMMA?Aende tu maana amefirisika kisiasa, He can only win the heart of sa100 but not Confidence of general Public
Tumbocrat Mbowe is after his own selfish Interests
Bado kidogo mtakuwa vichaa nyie Chadema. Muanzishe tetesi za Mbowe kwenda CHAUMA ninyi. Halafu ninyi ndio mgundue imeshindikana.Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Naona mbowe katanguliza mwanawe kwanza...Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Hapana, mpango ulikua ni huo Ila imeshindikanaNaona mbowe katanguliza mwanawe kwanza...
Mfano kina nani walianzisha tetesi kuwa mama hagombei 2025? Baada vipi mpango uliwezekana au ulishindikana?Bado kidogo mtakuwa vichaa nyie Chadema. Muanzishe tetesi za Mbowe kwenda CHAUMA ninyi. Halafu ninyi ndio mgundue imeshindikana.
Mpango alikua nao, makubaliano ndio hayajakaa vizuriMnakuwa kama msemaji wa Yanga. Anasema Mpanzu akiripoti Simba atatoa 10M, halafu siku mbili zinapita anasema Simba wamemficha Mpanzu. Kwani ni lini Mbowe alisema ana mpango wa kwenda CHAUMMA?
Hilo swala limekuwa kifamilia zaidi, walimuomba aende; kaona busara dogo akapate fursa, kama wanataka, wampe dogo hiyo nafasi ili kukuza jina. Yeye anaweza kutoa sapoti ili dogo apete. Hii ni kifamulia zaidi. Hapo namuelewa.Chadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
sema kulikuwa na mapendekezo na maombi, yamekataliwaHapana, mpango ulikua ni huo Ila imeshindikana
Wafuasi watapatikana hata wasio viongozi. Ni kawaida kwa Chama kinachoanza kujitutumua, kupigwa spana na vyama viivyojipata. Hata ACT ilianza bila wafuasi lakini kwa sasa unaona inasimamisha wagombea kila kata. Wananchi wataizoea tu CHAUMMA na kwenda
ACT ni tofauti na CHAUMMA, ACT ni CUF, wafuasi wengi wa CUF ndio waliingia ACT, na mchakato wa kuondoka CUF ni tofauti na CHADEMA. Wale waliondoka baada ya kuona mwenyekiti wa zamani anataka kupindua meza, na kuonekana ni mkakati maalum. Sasa CHADEMA ni wazi ni maslahi binafsi.Wafuasi watapatikana hata wasio viongozi. Ni kawaida kwa Chama kinachoanza kujitutumua, kupigwa spana na vyama viivyojipata. Hata ACT ilianza bila wafuasi lakini kwa sasa unaona inasimamisha wagombea kila kata. Wananchi wataizoea tu CHAUMMA na kwenda huko
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi🤔❗Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
ACT ilianzishwa 2014 mwishoni na uchaguzi mkuu wa 2015 ilifanikiwa kupata mbunge mmoja na madiwani 15 wa kuchaguliwa wakaunda Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma. Hawakuwa wafuasi wa CUF hawa, mpaka mwaka 2017 ndipo waliokuwa wafuasi wa CUF Zanzibar wakajiunga na ACT kumfuata Kiongozi wao Maalim Seif.ACT ni tofauti na CHAUMMA, ACT ni CUF, wafuasi wengi wa CUF ndio waliingia ACT, na mchakato wa kuondoka CUF ni tofauti na CHADEMA. Wale waliondoka baada ya kuona mwenyekiti wa zamani anataka kupindua meza, na kuonekana ni mkakati maalum. Sasa CHADEMA ni wazi ni maslahi binafsi.
Lusungo Fundi Mchundo NgongoNimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.