Mpango wa mwekezaji binafsi mwendokasi bado upo?

Mpango wa mwekezaji binafsi mwendokasi bado upo?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Hivi ule mpango wa kupata mwekezaji mpya kwenye mwendokasi - BRT umefikia wapi, maana tuliambiwa kama si mwezi wa nane au kumi na mbili kungekuwa na mwekezaji mwingine.
 
Mchakato umesitishwa kidogo, tutatoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom