Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Dec 14, 2019 #1 Hivi ule mpango wa kupata mwekezaji mpya kwenye mwendokasi - BRT umefikia wapi, maana tuliambiwa kama si mwezi wa nane au kumi na mbili kungekuwa na mwekezaji mwingine.
Hivi ule mpango wa kupata mwekezaji mpya kwenye mwendokasi - BRT umefikia wapi, maana tuliambiwa kama si mwezi wa nane au kumi na mbili kungekuwa na mwekezaji mwingine.
Bubolwa Chura JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 300 Reaction score 560 Dec 14, 2019 #2 Mchakato umesitishwa kidogo, tutatoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Dec 14, 2019 #3 Naona kimya, unakaa kituoni zaidi ya robo saa Sent using Jamii Forums mobile app