Tetesi: MPANGO WAKUWEPO MIFUKO MIWILI YA HIFADHI YA JAMII

dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
1,333
Reaction score
1,379
Kama kichwa kinavyojieleza,

Naomba kuwasilisha nilichosoma kwenye gazeti la nipashe ijumaa ya kwamba serikali imepitisha mpango huo mnamo April 2017.

Maswali.

1. Je kuna mantiki gani kufanya hivi?
2. Wafanyakazi wahaya mashkrika je, hawapo kwenye hatihati kupunguzwa kazi?

Mwisho nikujuwa huu mkakati utafikia mwisho lini rasmi.? Mwenye kujuwa tujuzane.
 
NSSF toka zamani ilikuwa mahususi kwa taasisi binafsi. PPF na yaliyokuja baadaye ni kwa ajili ya mashirika ya umma, serikali kuu na serikali za mitaa. Hivyo ni sahihi kabisa kuunganisha PPF, PSPF na GEPF maana yote haya yanahudumia sekta ya umma
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Vip LAPF?
 
Warudishe fao la kujitoa kwanza ndiyo waunganishe hiyo mifuko
 
Back
Top Bottom