NSSF toka zamani ilikuwa mahususi kwa taasisi binafsi. PPF na yaliyokuja baadaye ni kwa ajili ya mashirika ya umma, serikali kuu na serikali za mitaa. Hivyo ni sahihi kabisa kuunganisha PPF, PSPF na GEPF maana yote haya yanahudumia sekta ya ummaKama kichwa kinavyojieleza,
Naomba kuwasilisha nilichosoma kwenye gazeti la nipashe ijumaa ya kwamba serikali imepitisha mpango huo mnamo April 2017.
Maswali.
1. Je kuna mantiki gani kufanya hivi?
2. Wafanyakazi wahaya mashkrika je, hawapo kwenye hatihati kupunguzwa kazi?
Mwisho nikujuwa huu mkakati utafikia mwisho lini rasmi.? Mwenye kujuwa tujuzane.
Vip LAPF?NSSF toka zamani ilikuwa mahususi kwa taasisi binafsi. PPF na yaliyokuja baadaye ni kwa ajili ya mashirika ya umma, serikali kuu na serikali za mitaa. Hivyo ni sahihi kabisa kuunganisha PPF, PSPF na GEPF maana yote haya yanahudumia sekta ya umma
Local Authorities Pension Fund...huu nao si unahudumia sekta ya umma?Vip LAPF?
LAPF ndio mfuko pekee unaofanya kazi vizuri, watuachie LAPF yetu hatutaki kuungana na mifuko iliyoshindwa kujiendesha.Vip LAPF?
Ni lini wanaunganisha mkuuWarudishe fao la kujitoa kwanza ndiyo waunganishe hiyo mifuko
Sijui mkuuNi lini wanaunganisha mkuu
poa mkuuSijui mkuu