October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mwadilifu kwa nani . Labda kwa wahuni maana mwadilifu hawezi kuteka na kuua raia wa nchi yake kinyama namna hiyoHehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.
Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
AiseeeeeUkiona mtu alieoa ghafla ameanza mazoezi jua ameshaanza kudhalauliwa na mkewe. 😄
Angekuwa mwadilifu angekataa kushiriki huu uovu, lakinsababu alikubali. Achwa atupiwe containerHehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.
Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Hii nomaUkiona mtu alieoa ghafla ameanza mazoezi jua ameshaanza kudhalauliwa na mkewe. 😄
Inaweza kuwa amepata dogo dogo, ka genZ flani hivi kwahyo muhimu kuweka muscles afreshUkiona mtu alieoa ghafla ameanza mazoezi jua ameshaanza kudhalauliwa na mkewe. 😄
"...askari mwadilifu..."? HAPANA.Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.
Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Hehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.
Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Jidanganye kwa hili aichomoki muda wake umeishaNinachoipendea ccm ,Ina namna nyingi sana ya kujiondoa kwenye msala !hasa kupukutisha majani ya kale na kuchomoza mapya!!
Atatoswa mmoja TU,mmoja TU then mambo safiJidanganye kwa hili aichomoki muda wake umeisha
Watajitosa kweli uma hauwataki tena kwao itakua ngumu kudanganyaAtatoswa mmoja TU,mmoja TU then mambo safi
Serikali kama ingekuwa Ina haja nae, tayari wangekuwa wameshapita nae...mwamba daily yupo kazini anapiga mzigoHehehe! Mwafikiri siye hatujui. Memtuma nyie. Mafweye ni askari mwadilifu. Twamjua tangu enzi na enzi. Leo mwataka kumwagushia jumba bovu. Hapana walahi. Hatutakubali.
Mwaanza poyepoye mwafikiri hatujui mnachofanya. Mafwere na wenzako wanne mnajijua. Kaeni radar. Ama kweli shetani Hana kiapo. Na bado.
Huwa tunalazimishwa kutaka hata kama hatutaki!!Watajitosa kweli uma hauwataki tena kwao itakua ngumu kudanganya