Mpango wenu kumtoa Mafwere kafara na wenzake wanne hatuukubali


Kwebdraaaa
 
Yaani Mafwele yule mtekaji maarufu au Mafwele mwingine?
 
Atatoswa mmoja TU,mmoja TU then mambo safi
Kama namuona mtoswaji mwenyewe hivi , alafu lijitu jeuri naona siku hizi linapiga tu kwenye mishono likipewa mic na ulinzi wa maana sana au ndio kuiiandaa na suti kali ili uhuru itupe kupumua?
 
Mwadilifu how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…