Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mimi sio mgeni na soka la nchi hii, nazijua siasa zake vzr kwa sababu nimeanza kwenda uwanja miaka 1989, kwahiyo hakuna mtu anaenisumbua kwa siasa za soka hapa bongo had shirki.
Ni kwamba, shirikisho la soka FFT lilimfungia mwarabu pori na kumtandika faini ya kufa mtu, mwarabu pori akatukana sana FFT, akionyesha kuwa ameonewa, na kwa vile hali yake tunaijua akatishia watu kuwa atafunguliwa tu, yaani yeye ni mkubwa kuliko chombo cha soka, amepambana weeee lkn amekwama.
Watu wamemweka chini na kumwambia afunge domo lake kama anataka kusamehewa, haiwezekani watu wampambanie aondolewe kifungo huku akiendelea kutukana na kudhalilisha watu.
Jamaa kanywea, sasa hv huwez msikia akitukana chombo cha soka kwa sababu kaambiwa atulie, atafunguliwa lkn sio ss hv, asubiri kidogo itafutwe timing ndio atard tena ulingoni.
Mm nasema hilo halikubaliki, kama anadhalilisha na kukebehi watu leo mnamwekea mkakati wa kumpambania asamehewe itakuwa sio sawa, tunaomba adhabu iendelee ili iwe fundisho kwake.
Aendelee tu kuonekana kwenye uzinduzi wa albamu za wasanii mbalimbali huku akiwaonyesha wake zake kila aendako utadhani na sisi hatuna wake.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app