mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Nov 15, 2022 #21 Turudi pale Rau Madukani said: Mzee tozi alimvua ubingwa Click to expand... Inasemekana hakuwa na ubingwa tena, Wahuni walishamvua siku nyingi bonde la jangwani, Ndy michezo alianzia huko. Mzee tozi alikuta sumaku ishatolewa muda mrefu.
Turudi pale Rau Madukani said: Mzee tozi alimvua ubingwa Click to expand... Inasemekana hakuwa na ubingwa tena, Wahuni walishamvua siku nyingi bonde la jangwani, Ndy michezo alianzia huko. Mzee tozi alikuta sumaku ishatolewa muda mrefu.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Nov 15, 2022 #22 Na Kwa kitendo hiki wawili hawa wapendanao wafungiwe maisha kujihusisha na mpira wa miguu kama wanataka waoane kabisa View attachment 2417966
Na Kwa kitendo hiki wawili hawa wapendanao wafungiwe maisha kujihusisha na mpira wa miguu kama wanataka waoane kabisa View attachment 2417966
tumasa Senior Member Joined Dec 1, 2021 Posts 161 Reaction score 195 Nov 15, 2022 #23 BUGATT wanakuogopa hawa ndiyo wanakimbilia kwa baba yao na kukugandamiza kila leo watabana mwisho wataachia kazi wanayo.
BUGATT wanakuogopa hawa ndiyo wanakimbilia kwa baba yao na kukugandamiza kila leo watabana mwisho wataachia kazi wanayo.