Tetesi: Mpanzu alilia Simba baada ya kufeli KRC Genk, hataki tena ucheza AS Vita

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena kucheza AS Vita Club, ingawa bado wanajaribu kumshawishi.
1725866012155.png
Inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya Mpanzu kama wataamua kurudi tena, ni baada ya majaribio yao mawili kutofanikiwa kipindi cha dirisha kubwa la usajili.

Rais wa AS Vital Amadou Diaby analazimisha kumbakiza mchezaji huyo ambaye Uongozi wa klab hiyo, kabla ya kwenda Ubelgiji walikuwa wamemuahidi kumlipa mshahara mkubwa zaidi atakaolipwa na Simba, huku wakipanga kumpa Unahodha wa timu.
Screenshot 2024-09-09 101412.png
Kwa upande wa Simba bado wana nafasi ya kumpata mchezaji huyo kwani kwa upande wa Mpanzu anataka kutafuta changamoto mpya, na taari alishawaaga marafiki zake wa karibu, hivyo Simba wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuinasa saini ya winga huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza.

Soma pia:
==> Dili la Elie Mpanzu kujiunga Simba lipo hivi
==> Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni
==> Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo
 
Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk,kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake….ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena kucheza AS Vita Club,ingawa bado wanajaribu kumshawishi.
Inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya Mpanzu kama wataamua kurudi tena, ni baada ya majaribio yao mawili kutofanikiwa kipindi cha dirisha kubwa la usajili.

Rais wa AS Vital Amadou Diaby analazimisha kumbakiza mchezaji huyo ambaye Uongozi wa klab hiyo, kabla ya kwenda Ubelgiji walikuwa wamemuahidi kumlipa mshahara mkubwa zaidi atakaolipwa na Simba, huku wakipanga kumpa Unahodha wa timu.
Kwa upande wa Simba bado wana nafasi ya kumpata mchezaji huyo kwani kwa upande wa Mpanzu anataka kutafuta changamoto mpya, na taari alishawaaga marafiki zake wa karibu, hivyo Simba wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuinasa saini ya winga huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza.

Soma pia:
==> Dili la Elie Mpanzu kujiunga Simba lipo hivi
==> Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni
Huna taarifa za kutosha
 
Mbona ni ishu ya muda sana hiyo, tokea mwezi wa saba labda mlichelewa kupata taarifa. Mpanzu hata akisajiliwa kwasasa hawezi kucheza hadi dirisha dogo lifunguliwe mwakani.
 
Mtu anataka kwenda palipo na maslahi bora ila nyie mnasema anataka kutafuta changamoto mpya, huo si ni uongo uliokubuhu? Maslahi bora yamegeuka kuwa Changamoto siku hizi? Kenge nyie.
 
Mpanzu aliaga kwa mbwembwe Kisha gari ikaharibika stand
 
Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena kucheza AS Vita Club, ingawa bado wanajaribu kumshawishi.
Inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya Mpanzu kama wataamua kurudi tena, ni baada ya majaribio yao mawili kutofanikiwa kipindi cha dirisha kubwa la usajili.

Rais wa AS Vital Amadou Diaby analazimisha kumbakiza mchezaji huyo ambaye Uongozi wa klab hiyo, kabla ya kwenda Ubelgiji walikuwa wamemuahidi kumlipa mshahara mkubwa zaidi atakaolipwa na Simba, huku wakipanga kumpa Unahodha wa timu.
Kwa upande wa Simba bado wana nafasi ya kumpata mchezaji huyo kwani kwa upande wa Mpanzu anataka kutafuta changamoto mpya, na taari alishawaaga marafiki zake wa karibu, hivyo Simba wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuinasa saini ya winga huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza.

Soma pia:
==> Dili la Elie Mpanzu kujiunga Simba lipo hivi
==> Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni
==> Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo
Kafeli Genk ambako walitarajia pesa kubwa.

Wakala wake Sasa anamtumia Hans Raphael, wapushi dili ili naye apate mgawo
 
haya mambo yanaenda hivi kwasababu ya uafrika..muafrika hajawahi kuwa na akili..abaki huko huko..huku Simba sc hatumtaki tena
 
Back
Top Bottom