S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Dec 21, 2024 #1 Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka?
Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Dec 21, 2024 #2 mpaka aende kwa nabii!
kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Dec 21, 2024 #3 kuna uwezekano akacheza Ngoja niwasiliane na watu wa ndani
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Dec 21, 2024 #4 ANACHEZA LEO. KILA KITU KIMEKAMILIKA ILICHELEWA ITC KUTOKA DRC. NA KIBARI. KUFIKIA ALHAMIS ALIPATA VYOTE.
ANACHEZA LEO. KILA KITU KIMEKAMILIKA ILICHELEWA ITC KUTOKA DRC. NA KIBARI. KUFIKIA ALHAMIS ALIPATA VYOTE.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 21, 2024 #5 Sexless said: Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka? Click to expand... Yuko Tandale ndani huko.
Sexless said: Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka? Click to expand... Yuko Tandale ndani huko.
L Lee Van free JF-Expert Member Joined Aug 14, 2024 Posts 1,535 Reaction score 5,332 Dec 21, 2024 #7 Amecheza dk 57 TU,lkn ameonesha uwezo mkubwa mno. Hapa Simba welamba Jokel
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 22, 2024 #8 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw