achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Asili ya mpapai ni Amerika ya Kati. Matunda, majani na utomvu wake hutumiwa kama dawa maeneo mbalimbali ya dunia, matunda na utomvu wake umekuwa ukitumika kutengeneza bombe na waini. Matumizi ya mpapai kama dawa kwa mifugo na binadamu soma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA