Mpare na pesa benki

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki. Kuanzia siku hiyo alizoweka hizo pesa, usiku kucha anakesha dirishani na filimbi mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mpare wa watu anapiga filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....! Wote woga anaogopa, asije mtu akaiba pesa zake.
kuda deki...
 
ha hahah haaaa nice idea hiyo tukipata watu hawa arnd the banks yafaa sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…