Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi

Moto umeanza kuwaka huko
Kwa ndugu ZETU

Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa

Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi vinakuja

Movie ...inaendelea
 
Back
Top Bottom