Nimekimbilia kuangalia tv, bahati mbaya nikakutana na sura ya pisi fulani. Nikaanza tu kukumbukia mbaaali.Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda. Yetu macho.
tangu leo mlipoamua kuwaweka kimakundi kwenye chumba kimoja wazodoaneTangu lini hii imeanza?
Kwanza kichwa cha habari kina ukakasi. Zanzibar na Bara. Je Bara ni nchi gani? Mpaka kwenye maelezo ndio ukafafanua kumbe ni Zanzibar na Tanganyika. Tuache unafiki. Huku ni mtandaoni tu.Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda. Yetu macho.
Huu muungano fake bora uvunjwe hauna maana yoyote kwa baraTbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda. Yetu macho.
Lucas Mwashambwa ππNImemuona na Lucas Mwashambwa kwenye mkutano wao wa waendesha ofisi
Alikuwa amejifunga ushungi kama wazanzibar ili apate uteuzi toka kwa mazaLucas Mwashambwa ππ
Sio hatari kubwa ,ni ushindi mkubwa kwani wewe mkiwa na kikao cha familia ya jirani na ya kwako utaegemea wapi?Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda. Yetu macho.