Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mzee nini tena hii?
Mkuu MKJJ,
Hii kali.... ndio mkao wa kurelax baada ya kupasua kichwa sana kwa maswala ya kitaifa yasiyopata ufumbuzi?
MM,
sometimes dozi haiapply kila mahali!
kuna magonjwa mpaka upewe overdose ndo upone!
kuna mengine hata dozi hayahitaji, muda tu na yanapona!
........Mpe kwa dozi au wapeane kwa dozi.Mwanakijiji una mafumbo wewe!!!!
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
Hiyo dose.....Dr tupe contra-indication pia lol.Hii itasaidia kuamua kunywa au kuacha .
Nani huyo anayekupa kwa kibaba Mkjj pole sana .?
usisahau na wale madaktari wenye vyeti feki heheeheh mgonjwa anaumwa na malaria wao wanatoa dozi ya TB.Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
usisahau na wale madaktari wenye vyeti feki heheeheh mgonjwa anaumwa na malaria wao wanatoa dozi ya TB.