Shapu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2008 Posts 2,120 Reaction score 817 Apr 15, 2010 #21 Thats why i Love JF .... ! kitatokea kitu tu kitafanya siku yako iwe nzuri hata kama ilianza vibaya.
Noname JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,269 Reaction score 29 Apr 15, 2010 #22 i think I will go with this mpe dozi ikiwa dharuri only.... kama homa ikiwa kali sana ndo apewe dozi
Kbd JF-Expert Member Joined Oct 9, 2009 Posts 1,260 Reaction score 448 Apr 15, 2010 #23 Mzee Mwanakijiji said: Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu. Click to expand... Usiende kwenye vi-masi visivyorasmi lazima vina madhara japo viko cheap, nenda hospitali iliyosajiliwa.........ni ghali lakini watu wako profesheno.
Mzee Mwanakijiji said: Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu. Click to expand... Usiende kwenye vi-masi visivyorasmi lazima vina madhara japo viko cheap, nenda hospitali iliyosajiliwa.........ni ghali lakini watu wako profesheno.