Mpe member wa chichat no yake hapo unaona itampendeza zaid

Mpe member wa chichat no yake hapo unaona itampendeza zaid

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Kwang mm naona no 4
Inapendeza zaid saint ivuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
e68250f25f2c087a073ca31f732f9091.jpg
 
1.Huyu ndiye nadhani zuzu kati ya wote maana anamuona anayekata tawi alilokalia na bado ametulia.

2.Huyu nae katika harakati ya kujiokoa.

3.Huyu hana misukosuko na ndiye aliye salama zaidi.

4.Huyu anayekata tawi alilokalia huwenda ameona alipo hapastahili hivyo anaamua kujidondosha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Ivuga kapigwa ban ngoja akirud aone alivyo boyaa
 
Back
Top Bottom