Mpe mimba mpenzi wako iwe kama kishika uchumba, kama kweli unampenda

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua mtaleaje.

Haya mambo ya kupeleka barua sijui posa sijui nyumbani kwao wanaitambua kwetu wanamjua yameshapitwa na wakati kama hujatia mimba bado uyo sio wako muda wowote wenzako wanaweza kukupikuu.


 
Hahahaa, ukitia mimba utaona unavyotafutwa[emoji23][emoji23]. Hapo ukienda ukweni unavimba hata mahali una bargain unavotaka
Mkuu kuna jamii zingine usipofika dau wanalotaka, na akipatikana anaefika, anachukua mke na mtoto anakua wake...
 
Haya ni mawazo ya vijana ambao wamebahatika kuwa na mahusiano na wanawake warembo alafu chumi zao zinayumba na hawana vipato vya uhakika.......hali ambayo inapelekea kutojiamini........

Wasichojua ni kwamba karne hii hakuna mwanamke anayepewa mimba kama mbuzi.........
 
π™Έπš•πš’ πšžπš“πš’πš™πšŠπš—πšπš’πšŽ πš—πšŠ πš–πšŠπš‘πšŠπš•πš’ [emoji419][emoji419][emoji419]
 
Eti kama mbuzi, basi wapewe kama Simba
 
Mkuu kuna jamii zingine usipofika dau wanalotaka, na akipatikana anaefika, anachukua mke na mtoto anakua wake...
si ndo vizuri sasa, hapo jamaa atachapiwa mpaka akome.
Fanya hivi...Wewe
Me muachwa wee mlalamikie mke kuwa mtoto anataka kufanyiwa zindiko kila mwezi...tumpeleke kwa bibi tena aje na mumewe!!

Sasa mazingaombwe ya huko ni rahisi kubweda. Kiulainiiii..
Mbona atatema mzigo tuu huyo...

Halafu muwekee masharti asimpige mkeo lalamika jata kwa mama yake. Tamka tu kakonda huyu anatakiwa akale bata arusha km mweZi hivi. Utalipia wote! Km akishindwa amrudishe kwao.
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Hahahahahahaha I like this
 
Jamaa yangu alijaribu ilo jambo demu anamimba ya mtoto wa tatu bado demu anamwambia bado mda wakumpeleka nyumbani ndio nikafika itimisho juu ya hawa viumbe kuwa kumbe ata siwajui kama nilivokuwa najidanganya.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Weza mpa mimba pia akikuona hueleweki mzigo akaendapewa mwingine.
Acha tu waendelee kuitwa HAWA
 
mimba yenyewe inaogopwa kuliko ngoma ukimuotea utaishi kama digi digi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…