Mpe mimba mpenzi wako iwe kama kishika uchumba, kama kweli unampenda

Ni ujinga kwa mwanamke kukubali mimba kabla ya ndoa wengi wameachwa solemba na kuishia kuwa SINGO MAZA isomeke single mother baada ya njemba kuingia mitini.
 
Ila kweli aisee.. ukidate na mwanamke mzuri.. unahisi kama utaachwa.. so option pekee ni kupiga mimba
 
Naunga mkono hoja kama una nia ya kumuoa na umeshatumia gharama nyingi kumuhudumia huyo ukiweka mimba utakuwa hata haujakosea
 
Umeandika kibinafsi kweli, vip na upande wa binti yeye anaweka nn ili kama dhamana ya kushika uchumba kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…