Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'ata shuka huko huko jela (safari hii ataondoka kweli)
 
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)

Zamu ya Mashahidi kuandika WOSIA kabisa ili warithi wasipate tabu kugawana mali
 
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)

Huyo jamaa atakuwa ana backup ya watu nyuma yake ambao wanajua makaburi yakifukuliwa watabainika
 
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)

Thabo Bester is a convicted criminal who escaped from the Mangaung Correctional Centre in South Africa after faking his death in 2022. He was on the run for almost a year before being caught in Arusha, Tanzania on 8 April 2023. He was arrested along with his partner Dr. Nandipha Magudumana.
 
Back
Top Bottom