Zamu ya Mashahidi kuandika WOSIA kabisa ili warithi wasipate tabu kugawana maliHuko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Huyo jamaa atakuwa ana backup ya watu nyuma yake ambao wanajua makaburi yakifukuliwa watabainikaHuko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Kesi yake ipoje? Wemgine ndio tunatoka kubuna mpunga huku tumepitwa na mengiHuyo jamaa atakuwa ana backup ya watu nyuma yake ambao wanajua makaburi yakifukuliwa watabainika
Kesi yake ipoje? Wemgine ndio tunatoka kubuna mpunga huku tumepitwa na mengiKesi Ina mkono wa vigogo serikalini wanawachek hao wanaojidai wapenda haki
PoleKesi yake ipoje? Wemgine ndio tunatoka kubuna mpunga huku tumepitwa na mengi
Wengine hatujui kinachoendeleaHuko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)
Kesi yake ipoje?Pole
Thabo alihukumiwa Kwa kosa la mauaji na ubakaji. Akiwa gerezani akatoroka Kwa msaada wa demu wake Dr Magudumana. Walikamatwa Arusha Tanzania wakarudishwa SA Sasa mpelelezi kashakula chuma tuendelee kuangalia nan anafuataKesi yake ipoje?
Mkono lazima uwepo. Si huyu aliyetoroka jela kwa ku fake kifo?Kesi Ina mkono wa vigogo serikalini wanawachek hao wanaojidai wapenda haki
Thabo Bester is a convicted criminal who escaped from the Mangaung Correctional Centre in South Africa after faking his death in 2022. He was on the run for almost a year before being caught in Arusha, Tanzania on 8 April 2023. He was arrested along with his partner Dr. Nandipha Magudumana.Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa Bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'aka shuka huko huko hela (safari hii ataondoka kweli)