N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 431 Reaction score 61 Jul 1, 2025 #1 Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima
Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 1, 2025 #2 Sawa sawa