Mpemba na kikoi

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Mpemba akiwa anatembea ghafla upepo mkali ukadondosha kikoi huku akibaki mtupu ila cha ajabu akawa amezuia kofia kwa nguvu isipepee!
Jamaa akamuuliza mzee vipi unazuia kofia unaacha vyombo vyote nje huku?
Mpemba akajibu yakheeee hii kofia mpya nimenunua leo ila uchi ninao toka zamani![emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…