Mpemba!

Mpemba!

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
685
Nasikia Mpemba ni kigogo? Yupo mikononi mwa Polisi kwa sasa, nasikia kalegea anasema kila kitu!
Nasikia anataja majina makaratasi Polisi yameisha!

Majina yote anayotaja ni hatari tupu! Nchi itatikisika!
Nasikia wanasiasa wengi wamo!
Nasikia hata viongozi?
Weee umesikia nini?

Niambie!!
 
Inakuwaje JF siku hizi inajaza mapopoma tu!! Sasa ndo nini hiki? Kama unahabari ilete siyo kuandika ki-fb
 
Nasikia Mpemba ni kigogo? Yupo mikononi mwa Polisi kwa sasa, nasikia kalegea anasema kila kitu!
Nasikia anataja majina makaratasi Polisi yameisha!

Majina yote anayotaja ni hatari tupu! Nchi itatikisika!
Nasikia wanasiasa wengi wamo!
Nasikia hata viongozi?
Weee umesikia nini?

Niambie!!
Nimesikia wewe ni mmoja kati ya wanne!
 
Mpemba ndiye nani?
Kafanyaje?
Kawataja vigogo ki vipi?
Na ichi inatikisika kwa sababu gani?

Toa maelezo ya kueleweka, siyo kila unachokijua watu wengine wawe wanakijua
 
Mwenyeji wa waarabu wa loliondo wakija Arusha, asili yao wanapenda sana mihogo long time!
 
Back
Top Bottom