mpembaaa!!

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
670
jamani wanajamvini mnalipi la kusema juu ya hili? Jamaa yangu hapa home ana duka siunajua mpemba so amempiga marufuku mkewe kuvaa kufuli ili atakapo jisikia mzuka tu ajimwage kwa raha zake lakini usiku akijisikia basi hupanda kifuani nakuanza mambo wakati mkewe kalala hali hii imekua ikimkera mkewe sana! Jamani wana jamvini msaidieni huyu mpemba.
 
Nani kakupa hii habari? Maana hayo ni mambo ya ndani sana. Any way mimi napita tuu
 
mh! wapemba hawapo hivyo. Na kama huyo ndo mtindo wake, basi ni kivyake vyake wala isisemwe kuwa mambo ya wapemba waachiwe wapemba wenyewao coz hayo si mambo yao bali ni upumbavu wa huyo mtu binafsi.
 
mbona mi nshaona msukuma anashinda na msuli kwa ajili hiyo,tusisakame wapemba jamani
 
mh! wapemba hawapo hivyo. Na kama huyo ndo mtindo wake, basi ni kivyake vyake wala isisemwe kuwa mambo ya wapemba waachiwe wapemba wenyewao coz hayo si mambo yao bali ni upumbavu wa huyo mtu binafsi.

Ninakushukuru sana kwa machango wako wa maoni., nakubaliana na wewe coz kosa na mmoja huwezi kulipeleka kwa jamii yote.
 
Ulijuaje kuwa hayo yanafanyika?
 
mh! wapemba hawapo hivyo. Na kama huyo ndo mtindo wake, basi ni kivyake vyake wala isisemwe kuwa mambo ya wapemba waachiwe wapemba wenyewao coz hayo si mambo yao bali ni upumbavu wa huyo mtu binafsi.

nimependa comment yako,na thanks nimekugongea
 
amejua coz kaambiwa na mke wa mpemba, yeye na mke wa mpemba ni wapenz bila shaka.
 
Kama habari hii imevujishwa na mke wa mpemba kwako jiandae na wewe kupewa mashart hayo hayo. Kaka hizo ni issue za ndani mno.
Huyo mama avumulie tu, si kila ikupayo tamu na chungu hukupa pia?
 
Kamfanya mkewe chombo cha starehe! Huyo..inabidi mwanamke aangalie haki yake ya msingi ktk ndoa si kila wakati mume anapotak atatoa..amwambie kuw inabidi pawepo na makubalian kati ya wawil ndo tendo linafuata,
 
jamani alieniambia ni mpemba mwenyewe ili nimpe ushauri nami nikaona isiwe taabu nikalileta kwenu wanajamvini.Coz wenyewe wanaamini zile mbegu lazima ziingie sehemu stahiki.
 
umeyajuaje yote hayo??
 
Umekosa kazi ya kufanya, chukua ufagio ufagie hili jukwaa.
 
huyo mwanaume ni mpemba ila mwanamke na shaka si mpemba, atakuwa mikoa ya Pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…