Mpenda pochi

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Jaman nina gal wangu ambae anapenda pochi balaa,nimeshasex nae bado nampenda na ctak kumwacha.nifanye nn ili aache hii tabia yake ya kupenda hela?
 
Hakupendi ila anapenda pochi na wewe unaweweseka kwa figure yake. Huyo demu amini ni kicheche na akitokea shefa lenye pesa kidogo zaidi yako utapigwa chini kwa fedheha.

Zaidi unapata penzi kwa msaada wa huruma tu, huruma ikikoma huna chako, nakusisitizia.
 
Huyo achana nae! Ukiwa huna hela masela wa kitaa watapiga km kawa. Huyo si demu!
 
You get what you pay for wewe unafaidi tunda na mapenzi yeye anapata pochi. No complains!
 
pata 'value for money' kwa kukamua network zote...
 

kweli mkuu nafanya mchakato sasa hivi maana kila siku vibom mara cm mara vocha mara gauni mara nauli mara nin cjui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…