The Informer
Senior Member
- Jun 14, 2010
- 119
- 29
Hili ni neno. Amani haiji bila ncha ya upanga. Kenya Rwanda ni mifano mizuri japo utasikia watu wanasema wana amani. Amani my black behind!Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.
Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:
Makongoro Mahanga - 43,839
Fred Mpendazoe - 39,639
Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!
Mkuu, najua umeudhika sana kama mimi na nimekugongea kasenki hapo juu lakini hapo kwenye nyekundu... mmm hapana.Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
majaji wameajiriwa na ccm 🙂Izi ndo evidence za kupeleka mahakamani
Izi ndo evidence za kupeleka mahakamani
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.
Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:
Makongoro Mahanga - 43,839
Fred Mpendazoe - 39,639
Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!
:bowl:Kuna siku Umma utasema Tumechoka sijui watakimbilia wapi:bowl: