Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA


mtu akifungua comments akakutana na ID yako tayari anajua umeandika nini, jina lako lina haki ya kumpinga dr. Peter Slaa!
 
Umma upi?
Umma ni wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Wanaokinzana wakisema wamechoka, itakuwaje?

Tuache kauli za uchochezi. Kuna maisha baada ya uchaguzi.

Kishongo sikuelewi!

Uchochezi upi tuache wakati watu tunazungumzia haki yetu ya Kikatiba imeporwa!!!
Maisha yapi baada ya Uchaguzi wakti waliorudi madarakani ni mafisadi walewale wambao wanafanya MAISHA YETU YAWE YA KUBAHATISHA.
Kishongo huwezi kunishawishi hapo.

Kiwete kweli anachukua nchi LAKINI NI KWA DHULUMA AMBAYO HATA MUNGU HAKUBALIANA NAYO. SIDHANI KAMA ATAMALIZA AWAMU YAKE HII YA MWISHO SALAMA,NATILIA SHAKA SANA URAIS WAKE HUU WA WIZI!

IPO SIKU ATAJUTIA UPUUZI WAKE HUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…