Mpende Aduwi yako Ehhhhhh

Mh, huyo lazima atakuwa paka koko tu ,kwa jamii yetu haturuhusu hii kitu.
 
Yawezekana huyo paka bado ananyonya!! Au huyo panya bado mdogo sana. Lini ndama mdogo alipelekwa majinjioni!
 
hii naomba wenye email ya JK wamtumie pengine atatuelewa tunapomlaumu kuhusu kuwalea mafisadi. Imagine mapanya wanamaliza mpunga ghalani, kumbe paka ni mshkaji wao wanamchezea sharubu!
 
kama paka anaweza kushi vizuri na panya kwa nini sisi tunashindwa kuishi vyema na majirani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…