Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hahahahaha...sawa sawa MkuuPambania unachokiamini, watunze unaowapenda,waheshimu wanaokupenda, mshike anayekushika, mpende anae kupenda, usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe, life is too short!
Ukimpata anae kupenda mpende zaidi
Dogo tayari analia🤓😀, kamtumia nauli Dem wa Facebook 🤣Aliyekaribu namleta thread aongeze umakini na ukaribu tafadhali.
Naona anafungua thread za majonzi tu,anapatikana wapi kwani?Dogo tayari analia🤓😀, kamtumia nauli Dem wa Facebook 🤣
Daslam🤓Naona anafungua thread za majonzi tu,anapatikana wapi kwani?
Kafungua nyingine tena "kampatia mchumba mapenzi kedekede na vitu bwelele sasa anawasihi vijana wengine msifanye kwa kupitiliza"Daslam🤓
😭😭😭😭Dogo tayari analia🤓😀, kamtumia nauli Dem wa Facebook 🤣
MfinyeHaya
Unapenda ku “hahahhahhhaha..”Hahahahaha...sawa sawa Mkuu
Si ndo hii🤓🤣😆Kafungua nyingine tena "kampatia mchumba mapenzi kedekede na vitu bwelele sasa anawasihi vijana wengine msifanye kwa kupitiliza"
Fikeni anapoishi kabla roho haijatoka.
😂😂Depal kweli kuandika Uzi ni kipaji😀🤓