Mpeni kileo mtu yeyote anayekaribia kuangamia

Papa Bakoye

New Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
3
Reaction score
1
Maneno ya Lemueli mfalme, ujumbe mzito ambao mama yake alimwambia ili kumrekebisha. Niseme nini, ewe mwanangu, niseme nini, ewe mwana wa tumbo langu, niseme nini, ewe mwana wa nadhiri zangu. Usiwape wanawake nguvu zako za uhai, wala njia zako kwa kitu ambacho hufanya wafalme wafutiliwe mbali. Haifai wafalme, ewe Lemueli, haifai wafalme kunywa divai wala maofisa wakuu kuuliza: “Kileo kiko wapi?” ili mtu asinywe na kusahau jambo lililoagizwa na kupotosha haki ya yeyote wa wana wa mateso. Mpeni kileo mtu yeyote anayekaribia kuangamia na kuwapa divai watu wenye uchungu katika nafsi. Acheni mtu anywe na kuusahau umaskini wake, na mtu asiikumbuke taabu yake tena.

Methali 31:1-7
 

Attachments

  • king.jpg
    53.5 KB · Views: 61
  • we.jpg
    47.6 KB · Views: 54
  • wee.jpg
    40.9 KB · Views: 59
  • weeee.jpg
    68 KB · Views: 59
Countabook zingine nizakuchoma myoto.

Maana tunakoenda vita halalishwa vilivyo haramishwa.

Mnaukataa ukweli oneni sasa mnaenda kuangamia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…