Mwambie aache upuuzi na akue kiakili. Yani ana II ya 10 kisha anachanganyikiwa kukosa MD au sijaelewa. Watu wana I za 8 wanakosa sembuse yeye. Au unamaanisha kakosa kabisa chuo, kaomba kozi gani.Alipiga PCB kapata div II ya point 10 na pia kakosa chuo.
Kapata udsm botanical science lakini hatuna huelewa wa hii course kama vipi aende diploma kwahyo tupo njia panda.Mwambie aache upuuzi na akue kiakili. Yani ana II ya 10 kisha anachanganyikiwa kukosa MD au sijaelewa. Watu wana I za 8 wanakosa sembuse yeye. Au unamaanisha kakosa kabisa chuo, kaomba kozi gani.
Huyo jamaa ni wewe..... My psychology said itHabari wadau....
yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza
anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.
HahahahahaHuyo jamaa ni wewe..... My psychology said it
asiogope tupo wote mm div2 pt 10 nimekosa..awe na subira mwakani atapata ila asiombe MD kama mm kuna kozi nzuri mfano radio therapy and technology na pharmacyKiongozi sio mimi ni jamaa yangu .
Nashukuru kwa ushauri wako.asiogope tupo wote mm div2 pt 10 nimekosa..awe na subira mwakani atapata ila asiombe MD kama mm kuna kozi nzuri mfano radio therapy and technology na pharmacy