Ndugu wana JF Kuna mwanaume mmoja ambaye ameoa mwanamke.wameishi katika mahusiano miaka nane kabla ya kuoana hivyo walikuwa wamezoeana vya kutosha,kwa kuwa wote ni wafanyakazi sehemu tofauti huwa wanaonana weekend tu. hivo mwanaume anaishi na washikaji wake hapo anakoishi na binti anaishi huko anakofanya kazi.
lakin kinachomshangaza,mwanamke wake anakaa ananuna kila wakati akidai afanyiwe anachotaka yaan mwanaume abadilike afuate kile anachokitaka tu.
yan hata ikitokea kavaa suruari ambayo haiitaji mwanamke kinachofuata si kingine bali ni kununa ndani hadi kitandani inakuwa mzungu wa nne. jamani jamaa kachanganyikiwa amfanyeje? maana anateseka hadi kufikia kupiga masterbation usiku akiwa amelala na mwanamke wake na wote wako uchi wa mnyama. WanaJf hebu msaidien kwa ushauri