Mpeni ushauri mwanaume huyu

MUGUNDA

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
69
Reaction score
62
Ndugu wana JF Kuna mwanaume mmoja ambaye ameoa mwanamke.wameishi katika mahusiano miaka nane kabla ya kuoana hivyo walikuwa wamezoeana vya kutosha,kwa kuwa wote ni wafanyakazi sehemu tofauti huwa wanaonana weekend tu. hivo mwanaume anaishi na washikaji wake hapo anakoishi na binti anaishi huko anakofanya kazi.

lakin kinachomshangaza,mwanamke wake anakaa ananuna kila wakati akidai afanyiwe anachotaka yaan mwanaume abadilike afuate kile anachokitaka tu.

yan hata ikitokea kavaa suruari ambayo haiitaji mwanamke kinachofuata si kingine bali ni kununa ndani hadi kitandani inakuwa mzungu wa nne. jamani jamaa kachanganyikiwa amfanyeje? maana anateseka hadi kufikia kupiga masterbation usiku akiwa amelala na mwanamke wake na wote wako uchi wa mnyama. WanaJf hebu msaidien kwa ushauri
 
Duh, kuna watu na viatu.
Kuna hadith na simulizi.

Nendeni mkakue kwanza afu ndo mje kuongea hapa.
 
Kama walishazoeana ina maana tabia hiyo alikua anaijua tangu mwanzo.Inakuaje sasa hivi ndio inaanza kumsumbua?
 
Vunja ukimya, ongea naye, ukiona habadiliki mpige chini. Kwenu mwanamke yupo mmoja tu duniani? Kwa nini uhangaike na mastur.... na mwanawake yupo na umelala naye?
Haiingii akilini.
 
afate mpenzi wake anavyo penda..kama anampenda kwani ninii banaa
 
Hapa hata sielewi,
Km alimzoesha na anabadilik gafla anategemea nn?
Hayo si mambo ya kukaa na kuambizana tu!
Analazwa mzungu wa nne kisa kavaa suruali ambayo mamaaa haipendi lol!!!
 
kwa miaka 8 alikuwa hajatambua tabia za mchumba au alivumilia akijua atabadilika......itabidi asubiri hisani ya watu wa Marekani
 
huo nii upu***fu usiofaa kuelezwa katika jamii,wewe au yeye ni mwanaume maamuzi anayo nafsini mwake, kuacha au kuvumilia na asiseme ni kujishushia hadhi.
 
hahaa si useme tu ni wewee?jamani watu hamjui hata jinsi y akudanganya ndo maana mnakamatwa kirahisiii..ebu twambie na vyombo unaoshaga asubuhi au jioni baada ya kula....
 
Wanawake hununa wakiwa na sababu maalum siyo hiyo inayoonekana..

Please find ..dig deep utajua huyo dem anakasirika kwanini?? siyo kuvaa suruali..

Hao ndio ndugu zetu hawa walivyo..
 
Tafuta zaidi yawezekana ni zaidi ya hayo unayojua. Ya wanando ni mengi muno!
 
Ila huyo jamaa ni kama wewe vile!
 
aendelee tu kupiga masterbation,tena ni rahisi tu,tena afanye huku akiwa anamwangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…