Mpeni ushauri mwanaume huyu

nakataa kabsa, haiwezekani demu achojoe kila kitu alafu hasitoe mzgo, akichojoa ina maana yupo willing, otherwise angelala na jins! kajipange upya!
 
da mkuu me naona kaa nae chini na umuulize tatizo ni nn huenda ana kinamsumbua
 
hii kitu sikuiona loh loh loh kweli watu wamechokana jamani ,kwani lazima muishi wote? nyumba za kupanga zimeisha mjini nini ? makuuuuuuuuuuuuuuuuubwaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…