Me sidhani kam anatakiwa kunyamaza, me nafikiri antakiwa atafute njia ambayo atamweleza mwenzie ila bila mwizi kujua, lakini pia sio lazima amweleze kwa mdomo anaweza kutumia njia nyingine ambazo pia yule anaeibiwa hatajua taarifa zinakotokea ila2 atazipata na zikiwa za ukweli. Asipokua makini ataharibu urafiki wao wote wa3.
Jamani hii dunia ina kila aina ya vituko..huyu mamam hafai kabisa..yaani maeshindwa kutafuta wanaume wengine?
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,
Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,
maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!
sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.
Kwanini una linda urafiki wako na mtu mshenzi? Kuna faida yoyote unapata kutoka kwake?
Pole lakini huyu mwanamke mwingine mwenye kuiba mme wa mwenzie unatakiwa umfanyie cancelling aachane na mme wa mwenzie kama anaona raha iko siku atajutia
Mbona anatabia chafu sana ..na amewezaje kuwa rafiki yako..mwambie unakereheka na tabia zake chafu utamwambia mmewe kuhusiana na hili
Ila ingekuwa mie ningempiga stop kuja kwangu naona wewe una -mu-Entertain kwa nini????????????
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,
Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,
maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!
sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.
Mambo haya ni very complicated. Ilianzanzeeje mchezo ukafikia hapo bila vk kushtuka na kukataa uhusiano wa namna hiyo. Usimguse dude kwani hana kosa, waambie shoga zako wazi mambo yanayofanyika, unless huyo bwana ana sifa za ziada kwako. Kunyamza kimya ni kumlinda.usimchekee mwizi huyo mama wala usimuite shoga yako......,si mtu mwema kama anamtenda mwezio ujue na wewe hashindiwi kukutenda unless mnafanana tabia.....mfukuze asije kwako na umtishie utasema....sawa mrembo