Mpenz wangu wa zaman!!

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Kipnd nasoma o level nilipata mtoto mmoja mzur huyo hatar.. ila alikuwa mlokole.

Story zetu bas ni za dini tu.. hakuna bla blah kipndi hicho nasoma morogoro shule moja inaitwa kigurunyembe..
Tunapendana haswa ila sasa c unajua mambo ya o_level hakuna kula tunda zaid ya kuandikianabarua.

Afu mbaya zaid anakaa kwa mwalimu basi tabu tupu..

Basi mpaka tunamaliza shule mzee baba niko form six mtoto ananitafutaga kwa simu ya home TTCL..

Hapo nshakutana na madem wa advance na nshaanza kupga show na ma duu wengine yeye bado tunachat tu.. kunipa tunda hatak kisa kaokoka..

Nikaamua kumtupa nikawa napotezea callz zake.. akinitafuta nampotezea ikapita kama miaka miwili hiv hakuna mawasiliano..
.
Nakumbuka nipo chuo mwaka wa pili udsm alinipgia simu bas tukaongea ongea akaniambia bado ananipenda na bado kaokoka..

Nikamwambia aendelee na maisha yake.. bas akafos aje dar kunitembelea week end moja.. alikuwa anasoma udom..

Basi siku ya siku nikampokea ubungo kama rafik yangu tu.. nilimshangaa kabadilika nillikua sijamuona cku kibao. Miaka yan.

Kawa mcharo ana shepu balaa kaumbika na kavaa skin jeans ah sikuamin..

Basi nikampeleka kwenye zile hotel za pale ububgo terminal nyuma..

Akachukua chumba pale tukaingia room.. tukapga sana story za zaman..
Sasa namuaga nisepe zangu ananiambia nisiondoke nibak..
Dah bas ntafanyaje wakat roho yangu ndo ilikuwa inataka nibaki..
Nikala mzigo wa kilokole ucku wote..
Cha ajabu mlokole hakuna asichojua kitandan coz huduma zote alinipa ananyonya koni kama kawa..

Juu anakalia mpaka nikapigwa na butwaa..

Nikawa namuuliza kwann alikuwa ananibania wakati wote ananiambia alikua anaogopa af ananionea sana aibu ila alikua anataman sana..

Tuli enjoy sana week end yote akarud udom jtatu..
Mpaka leo nakula mzigo fresh mpaka juz juz kaniambia katolewa mahali na mtu anataka kumuoa..

Bas nikamwambia fresh ndoa ni jambo la heri..lakin ananiambia atakuwa ana mbania mume wake coz hajampenda ila wazaz wake ndo wanataka aolewe na kukataa hawez.

Nikamwambia akiolewa atulie ndoa sio kitu cha kuchezea.

Ananiuliza kwahiyo nikikuletea mzigo baada ya kuolewa je hauta kula!??
 
Daaaaaaah!!nimewaza km wanaume wa Dar ila shukrani sana kwa hadithi
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…