Mpenzi aliye "busy" siku zote

Wanawake wengi wanaoteseka kwenye ndoa zao s kwamba hawakuona dalili mbaya waliona sana ila waliendelea kujipa moyo kuwa ipo siku wapenzi wao watabadilika na hata walipoomba ushauri kwa ndugu zao waliwambia vumilia ndo wanaume walivo wakidai wanaume wa sku hz wamekuwa adimu kama kuna mtu amekutana na haya mambo aje asimulie kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma baadhi ya maoni ya wadau humu, umetolewa ushauri very constructive.

Binafsi nimegundua Miss aggyjay unamnyima mwenzako mapenzi ndio maana huyo Boyfriend ako akaona bora ajiweke pembeni kwa style hiyo ya kujifanya yuko busy. Hilo yawezekana ndiyo mpango na msimamo wako labda hutaki sex mpaka ndoa, au mpaka uposwe n.k jambo ambalo mwenzako ameona kuchelewa au hakuwa na malengo yeyote na wewe zaidi ya uboifrendi na ugelofrendi tu.

Binafsi niliwahi kuachana na wadada 3 ambao walikuwa na mtazamo huo wa hakuna sex hadi ndoa, vitu vingine wanawake huwa mna complicate ikiwemo hilo suala la kunyimana kuti**na. Kwa Dunia ya sasa kushiriki ngono na mpenzi wako imekuwa sio option tena bali ni MUST kwa kuwa Tendo lile ndio Chachandu yenyewe ya kuboresha mahusiano kufikia NDOA.

Miss aggyjay tafakari umekosea wapi ili uweze kumrudisha ndege wako Tunduni.
 
Mi pia nahitimisha "HAKUPENDI" maana kuna mwenzio namfanyia hayo hayo ulioainisha kwenye mada husika! Japo anaforce na malalamishi ni mengi ila nilifikia stage nikamchana kama vipi awe na mwanaume mwengine mie moyo wangu ushakufa ganzi. Anadai hawezi kuhangaika na wanaume wengine atavumilia mpaka niwe sawa!

Nimemwambia aendelee kuvumilia tu!
 
Vipi sasa mtoto "Senyora" hukuanzisha hata ka Valangati ili kuweka himaya yako sawa? Ama kwa vile ulikuta mwenzio ndio yupo kikaangoni ukakausha!
 

Yani jana Usiku tumeongea Nilifikiri yameisha. Kumbe waaala!

Ndo Umeamua kunifungulia na uzi kabisa. Ooouh.
Ila tambua nakupenda sana mpenzi [emoji8] uta enjoy sana baada ya kitambo kidogo tu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii 4 ndio ilionifanya nikose upendo kwa yule binti japo hana shida nyingi! Very clingy like baby shiit on 'em diapers!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hitimisho lako limekaa kiuchonganishi.
Hebu mtuache wenyewe tunapendana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahahaha we msenge chizi kwenye hio line ya mwisho πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unajua sikuwahi experience ile hali ya kuwa mtu ulimingle nae kama rebound ukaja gundua humpendi halafu yeye kashakolea kwako! I almost feel like shiyt wheneveri see her texts or missed dials!

Kusema tuachane siwezi yani tafrani...ni dodging to kwa kisingizio cha ubize!
 
Hahahah usiombe kukutwa na bwana pepsi, hapo ndipo utapoona umuhimu wa ile ngoma ya Diamond na Shetta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…