Mpenzi amejichora tatoo (jina la mpenzi wake kabla yako)

Benno

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2009
Posts
332
Reaction score
51
" Wadau, nikiwa nasikiliza baadhi ya maada leo hii, Niliguswa sana na huu utata"

Katika hatua za mwisho unagundua Mpenzi wako amechichora Jina la Mpenzi wake wa dhamani, Mfano I love you AAA wakati wewe ni BBB utafanyaje?

"Je utaacha kuangalia kila unapokutana naye au utafanyaje na hali ni jirani kabisa na Eneo Nyeti"
 
pima mapenzi yako kwake kama yanaweza kuhimili kuona jina la mtu mwingine.kama kweli mapenzi yanauzito zaidi kwake then unapotezea tu kama huoni.after all ni pekeyako utakua unajua hiyo siri
 
we kilichokupeleka hapo ni kusoma jina au kupiga kazi..piga kazi mwanawane then endelea na mambo mengine utakuja kupata bp bure
 
Kwani hiyo tatoo imechorwa "moyoni mwake"?... Mie sioni tatizo kwa tatoo kuwa sehemu nyeti hata kama ingekuwa ni ya mme wake wa ndoa aliyeapa kifo kiwatenganishe...wewe ingiza dudu piga mashine... Mapenzi huifadhiwa moyoni na sio kwa tatoo... umenielewa kijana?
 
Halafu hizi tabia za kuweka Tattoo za kudumu-hazina maana hata kidogo
 
unajua mpaka msichana anafikia kujichora tatuu huko kwa bibi ni kwamba amemfiili sana labda tu mshikaji amemtosa lakini anampenda sana,kaka piga chini huyo demu fasta,mbaya sana kujua kuwa demu uliyenaye alikuwa anachapwa na nani/
 
bila shaka safari yako ya chumvini ikaingia doa, ndo mana wenzio wanaenda huku wamefumba macho sasa we macho kodooooooooooo
 
bila shaka safari yako ya chumvini ikaingia doa, ndo mana wenzio wanaenda huku wamefumba macho sasa we macho kodooooooooooo





wadau mnatisha mmewaza mbali SANA
 

hakuna namna jamaa yangu, we potezea tu kama kweli unampenda:target:
 
labda kama ulikuwa mlupo but kama ulitaka kuoa ahilisha hafai huyo!
 
pima mapenzi yako kwake kama yanaweza kuhimili kuona jina la mtu mwingine.kama kweli mapenzi yanauzito zaidi kwake then unapotezea tu kama huoni.after all ni pekeyako utakua unajua hiyo siri

no mtakuwa wa3 mnaojua yule aliyechorwa bint mwenyewe na wewe.
kumbuka kama ameamua kuweka tatoo aketokea tu akaomba kiulan mnashea.
 

dah,mtu wangu,ukumbuke kuwa roho ya binadamu huchoka pia..sasa wewe vuta mwaka wa kwanza na yeye..halaf ya pili..fika ya tano kama hautakuwa umelichoka kuliona hilo jina hapo sehemu inayotakiwa kuwa yako..kama sio vurugu tupu ya baadae..ni kutemana nae tu..haina faida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…