frank kilele
New Member
- Aug 31, 2013
- 1
- 0
Kwanza asanten kwa kunikaribisha katika jukwaa hili la vijana ambalo naliona ni bora kuliko hata facebook...kiukwel nimeipenda sana hasa kwa mada zilizomo humu ndani...nategemea kupata marafiki wengi wa kuchat nao hasa kwa mada mbalimbali...na pia ikiwemo ushauri...asanten sana..mm naitwa Frank.
Wewe ni KE au ME?