Hapo andika maumivu! Sasa we hizo hisia unapeleka wapi? Kama vip tafuta dem mwingine mapema.
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1
Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?
Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.

Madharau Kama haya yanaudhi sana .Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1
Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?
Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
sex ktk relationshp ni ki2 muhmu sana na kinaimarisha uhusiano wenu,pengine wew ni wa stori2 mwenzio (boy)ndo anasexnay
makubwa nini nina mpenzi wangu siku ya kwanza nilipo mtongoza kesho kutwa yake nikajilia mzigo taratibu yani kwangu kwake kwangu kwake na alilijipimia mwenyewa sas nini miaka 7 kwenye mahusiahano yetu tunapendana vya kutosha ,,,,,,akikata usili mzigo temana naye isije mishapa yko ya kupitisha mbegu za kiume ikaziba bure mtoto wa watu
nawsilisha kutoka muhimbili
Changanyikeni!
Wewe mjibu kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa ni dhambi. Na mjiandae kuoana kabla ya mwakani. Ama bado mnakula ugali wa shkamoo?